RASHFORD AIFUNGIA MAN UNITED BAO LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO YASHINDA 2-1
Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, AFC Bournemouth 2-1 jioni ya leo Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Callum Wilson alianza kuifungia Bournemouth dakika ya 11, kabla ya Anthony Martial kuisawazishia United dakika ya 35PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment