Cristiano Ronaldo wa Juventus akionyesha jezi aliyozawadiwa kabla ya mchezo wa Serie A na Cagliari jana Uwanja wa Allianz mjini Torino jana kwa kufikisha mechi 400 za klabu kwenye tano kubwa Ulaya. Juventus ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Paulo Dybala dakika ya kwanza, Filip Bradaric aliyejifunga dakika ya 38 na Juan Cuadrado dakika ya 87, wakati la Cagliari lilifungwa na Joao Pedro dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Farewells, injuries and play-off bids - Welsh rugby's weekend
-
BBC Sport looks back on a weekend of farewells, damaged hopes and damaged
bodies as Welsh rugby nears season climax.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment