LEOPARDS WALIVYOJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA KOMBE LA SPORTPESA
Mshambuliaji Mtanzania wa AFC Leopards ya Kenya, Marcel Kaheza akizungumza na Waandishi wa Habari leo Uwanja wa JMK Park, eneo la Gerezani mjini Dar es Salaam wakati wa mazoezi ya timu yake kujiandaa na michuano ya tatu ya Kombe la SportPesa inayotarajiwa kuanza Januari 22 hadi 27 mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Wachezaji wa AFC leopards wakifanya mazozi leo JMK Park kujiandaa na michuano ya SportPesa
Kocha wa AFC Leopards akitoa maelekezo kwa mchezaji wake leo JMK Park
Marcel Kaheza aliyejiunga na AFC Leopards mwezi uliopita kutoka Simba SC akiwa mazoezini leo
Wachezaji wa AFC Leopards wakifurahia leo Uwanja wa JMK Park
Muhammadu Indimi lives large in the lap of luxury
-
By Funsho Arogundade There is no gainsaying that billionaire tycoon, Dr.
Muhammadu Indimi has a wondrous taste. Over the years, the Borno State-born
bu...
0 comments:
Post a Comment