Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili, dakika za 42 kwa penalti na 77 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Lucas Vázquez dakika ya 18 na Karim Benzema dakika ya 80, wakati ya Girona yalifungwa na Anthony Lozano dakika ya saba na Alex Granell kwa penalti dakika ya 66 na timu hizo zitarudiana Januari 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Starmer turns to Gordon Brown to save faltering premiership
-
Sir Keir Starmer has brought Labour heavyweights Gordon Brown and Harriet
Harman back into government in an attempt to shore up his premiership.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment