AFC LEOPARDS WALIVYOWASILI DAR JANA KUSHIRIKI SPORTPESA CUP
Wachezaji wa AFC Leopards ya Kenya wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam jana tayari kushiriki michuano ya tatu ya Kombe la SportPesa inayotarajiwa kuanza Januari 22 hadi 27 mwaka huu nchini Tanzania
0 comments:
Post a Comment