Frenkie de Jong akikabidhiwa jezi ya Barcelona na Rais wa klabu hiyo, Josep Maria Bartomeu baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 65 kutoka Ajax na kuifanya klabu hiyo ya Katalunya izipiku Manchester City na Paris Saint-Germain zilizokuwa zinamtaka pia kiungo huyo. Lakini de Jong aliyesaini mkataba wa miaka mitano atabakia Amsterdam hadi mwishoni mwa msimu ndipo atajiunga na klabu yake mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment