Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza kwa penalti dakika ya 27 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton and Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao la pili la Man United limefungwa na mshambuliaji Marcus Rashford dakika ya 42, wakati la Brighton limefungwa na Pascal Gross dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment