Gabriel Jesus wa Manchester City (katikati) akijaribu kupasua katikati ya mabeki wa Burton, huku Nigel Clough akijaribu kumzuia katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England jana Uwanja wa Pirelli, Burton-upon-Trent mjini Staffordshire. Man City ilishinda 1-0, bao pekee la Sergko Aguero dakika ya 26 akimalizia pasi ya Riyad Mahrez, hivyo kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 10-0 baada ya kushinda 9-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani na sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya Chelsea na Tottenham Hotspur zinazorudiana leo uwanja wa Stamford Bridge, London kufuatia Spurs kushinda 1-0 Wembley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
McLarens struggle as Leclerc fastest in practice
-
McLaren's title contenders Lando Norris and Oscar Piastri struggle in first
practice at the Las Vegas Grand Prix as Charles Leclerc sets the pace.
57 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment