AZAM FC NA RUVU SHOOTING ZATOSHANA NGUVU, ZATOKA SARE YA 0-0 CHAMAZI
Mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa (kulia) akimtoka beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa sare ya 0-0 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment