Mshambuliaji Muargentina, Odion Ighalo akiwa ameshika jezi ya Manchester United baada ya kutimiza ndoto za kujiunga nayo kwa mkopo kwa dau la Pauni Milioni 4 kutoka Shanghai Shenhua ya China. Ighalo ambaye amesema yeye ni 'shabiki kufa' wa United tangu akiwa mdogo kwao, Nigeria enzi hizo klabu hiyo inaongozwa na mshambuliaji, Andy Cole atakuwa analipwa Pauni 165,000 kwa wiki, nusu tu ya mshahara wake wa China, Paun 330,000 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Farewells, injuries and play-off bids - Welsh rugby's weekend
-
BBC Sport looks back on a weekend of farewells, damaged hopes and damaged
bodies as Welsh rugby nears season climax.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment