• HABARI MPYA

    Tuesday, April 29, 2025
    YANGA NAO WAINGIA FAINALI KWA MATUTA PEMBA

    YANGA NAO WAINGIA FAINALI KWA MATUTA PEMBA

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Zimamoto kufuatia ...
    RAIS SAMIA AZIPONGEZA TIMU ZA TAIFA ZA FUTSAL NA WANAFUNZI

    RAIS SAMIA AZIPONGEZA TIMU ZA TAIFA ZA FUTSAL NA WANAFUNZI

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amezipongeza timu ya taifa Futsal na ya vijana chini ya miaka 15 kwa kufany...
    Monday, April 28, 2025
    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya JKU imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku wa leo Uwanja wa Gombani, ...
    Sunday, April 27, 2025
    NI RSB BERKANE NA SIMBA SC FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

    NI RSB BERKANE NA SIMBA SC FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

    TIMU ya RSB Berkane ya Morocco na itakutana na Simba katika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa CS Constantine leo nchini ...
    RAIS DK SAMIA AIPONGEZA SIMBA KUINGIA FAINALI AFRIKA

    RAIS DK SAMIA AIPONGEZA SIMBA KUINGIA FAINALI AFRIKA

      RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Simba kwa kuingia Fainali ya Kombe la Shirikisho Afri...
    SIMBA SC YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    SIMBA SC YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    TIMU ya Simba imefanikiiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya sare ya bila kufungana na wenyeji, Stellenbosch katika mche...
    TANZANIA YAINGIA NUSU FAINALI MICHUANO YA FUTSAL AFRIKA WANAWAKE

    TANZANIA YAINGIA NUSU FAINALI MICHUANO YA FUTSAL AFRIKA WANAWAKE

    TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Michuano ya Futsal Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya S...
    TANZANIA MABINGWA TENA MICHUANO YA SHULE ZA AFRIKA WAVULANA

    TANZANIA MABINGWA TENA MICHUANO YA SHULE ZA AFRIKA WAVULANA

    TANZANIA imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ubingwa wa Shule za Afrika (ASFC), inayoshirikisha vijana chini ya umri wa miaka 15 kwa m...
    AL AHLY YAACHANA NA KOCHA KOLLER BAADA YA KUVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    AL AHLY YAACHANA NA KOCHA KOLLER BAADA YA KUVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    KLABU ya Al Ahly imemfukuza kazi kocha mkuu Marcel Koller siku moja tu baada ya kuondolewa katika michuano ya  Ligi ya Mabingwa Afrika na Ma...
    Saturday, April 26, 2025
    AZIZ KI AFUNGA YANGA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZIZ KI AFUNGA YANGA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga wamefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi, michuano hiyo maalum ya kuazimisha miaka 61 ya Muu...
    MTIBWA SUGAR YAREJEA LIGI KUU BAADA YA MSIMU MMOJA TU TANGU ISHUKE

    MTIBWA SUGAR YAREJEA LIGI KUU BAADA YA MSIMU MMOJA TU TANGU ISHUKE

    TIMU ya Mtibwa Sugar imejihakikishia kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya msimu mmoja tu licha ya sare ya kufungana bao 1-1 na Big...
    Friday, April 25, 2025
    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM jioni ya leo Uwanja wa Gomba...
    ZIMAMOTO YAIREJESHA TANGA COASTAL UNION MAPEMA TU

    ZIMAMOTO YAIREJESHA TANGA COASTAL UNION MAPEMA TU

    TIMU ya Zimamoto imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastao Union ya Tanga jioni ya ...
    Thursday, April 24, 2025
    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya JKU imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Singida Black Stars jioni ya leo ...
    Wednesday, April 23, 2025
    SERIKALI YAGHARAMIA USAFIRI NA MALAZI SIMBA SC MARUDIANO NA STELLENBOSCH

    SERIKALI YAGHARAMIA USAFIRI NA MALAZI SIMBA SC MARUDIANO NA STELLENBOSCH

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mheshimiwa Dk. Samia Samia Suluhu Hasan imegharamia usafiri na malazi kwa klabu ya Afri...
    Tuesday, April 22, 2025
    SIMBA SC KUONDOKA NA WACHEZAJI 23 KESHO KUIFUATA STELLENBOSCH

    SIMBA SC KUONDOKA NA WACHEZAJI 23 KESHO KUIFUATA STELLENBOSCH

    KIKOSI cha Simba SC cha wachezaji 23 kinatarajiwa kuondoka kesho asubuhi kwenda Jijini Durban, Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudian...
    KOMBE LA MUUNGANO SASA MECHI ZOTE NI DIMBA LA GOMBANI KISIWANI PEMBA

    KOMBE LA MUUNGANO SASA MECHI ZOTE NI DIMBA LA GOMBANI KISIWANI PEMBA

    MICHUANO maalum ya kuazimisha sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania tukufu Aprili 26, mwaka 1964 sasa itafanyika Uw...
    Sunday, April 20, 2025
    RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI WAIPONGEZA SIMBA KUWACHAPA WASAUZI

    RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI WAIPONGEZA SIMBA KUWACHAPA WASAUZI

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Simba SC kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afr...
    NAMUNGO FC YAICHAPA MASHUJAA 2-1 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAICHAPA MASHUJAA 2-1 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliwa, ...
    SIMBA SC YAICHAPA STELLENBOSCH 1-0 ZANZIBAR BAO LA AHOUA

    SIMBA SC YAICHAPA STELLENBOSCH 1-0 ZANZIBAR BAO LA AHOUA

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza was Nusu Fainali ya Kombe ...
    Saturday, April 19, 2025
    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA

    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA

    TIMU ya Azam FC imetoka nyuma na kushinda mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu ...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwa...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top