Mwanzo > ZANZIBAR > AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI JKU KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI TIMU ya JKU imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku wa leo Uwanja wa Gombani, Pemba.Mabao ya JKU yamefungwa na Neva Adelin dakika ya 50 na Freddy Suleiman dakika ya 80, wakati bao pekee la Azam FC limefungwa na beki Mcolombia, Yeison Fuentes dakika ya 15.JKU sasa itasubiri mshindi wa Nusu Fainali ya kesho Kati ya Yanga na Zimamoto kukutana naye katika Fainali Mei 1. Monday, April 28, 2025 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI JKU KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment