WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mabao ya Tanzania Prisons yamefungwa na Oscar Mwajanga mawili, dakika ya 51 na 90 na Jeremiah Juma dakika ya 78, wakati ya JKT Tanzania yamefungwa na Mohamed Bakari dakika ya 12 na Jumanne Elfadhili aliyejifunga dakika ya 42.
Kwa ushindi huo, Tanzania Prisons inafikisha pointi 27 katika mchezo wa 27, ingawa wanabaki nafasi ya 14, wakati JKT Tanzania inabaki na pointi zake 32 za mechi 26 nafasi ya saba.
Ligi Kuu inashirikisha timu 16 na mwisho wa msimu mbili zitashuka Daraja na mbili nyingine zitakazomaliza nafasi ya 14 na 13 zitamenyana baina yao na mshindi wa jumla atasalia Ligi Kuu.
Timu itakayofungwa itakwenda kumenyana na timu ya Championship kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.

0 comments:
Post a Comment