Wachezaji wa Tottenham Hotspur wakimpongeza mwenzao, Toby Alderweireld baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 82 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Paris Saint Germain Uwanja wa Camping World mjini Orlando, Florida, Marekani. Mabao mengine yamefungwa na Christian Eriksen dakika ya 11, Eric Dier dakika ya 18 na Harry Kane kwa penalti dakika ya 88, wakati ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani dakika ya sita na Javier Pastore dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Alpha Bank SA (ATH:ALPHA) (H1 2025) Earnings Call Highlights: Strategic
Partnerships and ...
-
Alpha Bank SA (ATH:ALPHA) reports strong profit growth and strategic
expansions, while navigating currency pressures and competitive lending
markets.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment