Dani Ceballos akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao yote mawili dakika za 10 na 43 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Alaves leo Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz kwenye mchezo wa La Liga. Bao la wenyeji limefungwa na Manu Garcia dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment