Mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney akivuja damu baada ya kuumia kufuatia kugongana na Simon Francis wa Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park, lakini ajabu refa hakutoa adhabu yoyote kiasi cha kuzomewa na mashabiki. Rooney alibadilishiwa jezi baada ya kutibiwa na kuendelea na mchezo, Everton ikishinda 2-1 mabao yote yakifungwa na mshambuliaji Msenegali, El-Hadji Baye Oumar Niasse dakika za 77 na 82 baada ya Joshua King kuanza kuwafungia wageni dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Napoli held by Casertana on McTominay’s return 🔙
-
Everything happened in the first 45 minutes between Napoli and Casertana.
The fourth pre-season friendly of the azzurri ended in a draw: 1-1, with
goals fr...
4 minutes ago
0 comments:
Post a Comment