Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na Gareth Bale baada ya kufunga bao la pili la Real Madrid dakika ya 49 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal Iduna Park mjini Dortmund. Bale aliyetoa pasi la bao la pili, ndiye aliyefunga bao la kwanza dakika ya 18, wakati Ronaldo alifunga na la tatu pia dakika ya 79 na Pierre-Emerick Aubameyang akawafungia wenyeji la kufutia machozi dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment