Cristiano Ronaldo akipiga nje na kukosa bao la wazi akiwa amebaki yeye na kipa wa Real Betis baada ya krosi nzuri ya Gareth Bale katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu, Real Madrid ikifungwa 1-0 bao pekee la Antonio Sanabria dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment