Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao matatu dakika za pili, 77 na 82 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bet365. Bao lingine la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment