Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 69 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Olympiacos katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Allianz mjini Torino usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na Mario Mandzukic dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment