Nyota wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani na Neymar Junior wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayern Munich usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Cavani alifunga dakika ya 31 na Neymar dakika ya 63 baada ya beki Dani Alves kufunga la kwanza dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment