Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 15 na 60 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Spurs lilifungwa na Son Heung-min dakika ya nne, wakati la wageni lilifungwa na Andriy Yarmolenko dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal apologise to Atletico about hot water failure
-
Arsenal apologise to Atletico Madrid after a hot water failure at Emirates
Stadium sees the Spanish side heading to their hotel for showers following
a tra...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment