Mshambuliaji Msenegali, Sadio Mane (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 55 ambalo linakuwa bao lake la 14 msimu huu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Anfield, bao la kwanza likifungwa na Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 40, ambalo naye linakuwa bao lake la 32 katika msimu wake wa kwanza kwenye timu hiyo tangu awasili kutoka Roma ya Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Don’t let Farage and Reform divide us, Labour’s Sarwar urges Holyrood
leaders
-
Scottish Labour leader says he aims to hold SNP to account after his party
tied for second with Reform in elections
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment