Wachezaji wa Bayern Munich wakisherehekea na taji lao la Bundesliga baada ya kuibuka na ushindi wa 4-1 leo dhidi ya Augsburg waliotangulia kwa bao la kujifunga la Niklas Sule dakika ya 18, kabla ya mabao ya Corentin Tolisso dakika ya 32, James Rodriguez dakika ya 38, Arjen Robben dakika ya 62 na Sandro Wagner dakika ya 87 kuipa taji la sita mfululizo la Ligi Kuu ya Ujerumani timu ya Jupp Heynckes PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Namewee to be remanded over Taiwanese influencer Iris Hsieh’s death; Taiwan
seizes US$150m, detains 25 in Prince Group scam probe: SIngapore live news
-
Namewee wanted in Taiwan influencer Iris Hsieh’s death reclassified murder.
Taiwan seizes US$150 million Prince Group assets, 25 held in scam probe
tied to...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment