Mshambuliaji Luis Suarez wa Barcelona akishangilia kwa kuonyesha picha ya mtoto wake mpya na ujumbe; 'Welcome Lauti' baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 30 kwa penalti, 75 na 83 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 11 na A. Vidal dakika ya 87, wakati la Real limefungwa na Marcelo dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
46 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment