Rafinha (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 32 kabla ya Jordi Alba kufunga la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Inter Milan kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Barcelona jana ilimkosa nyota wake, Lionel Messi ambaye ni majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment