MATOBANGO AKIWA NA MACHUPPA NA AKILIMALI BAADA YA MECHI YA KAHAMA UNITED NA SIMBA SC
Kiungo mshambuliaji wa Kahama United, Hemed Ally ‘Matobango’ (katikati) akiwa na wachezaji wa Simba SC, Athumani Mahuppa (kushoto) na Akilimali Yahya (kulia) baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu hizo mwaka 2003 Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment