Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor mabao yao yakifungwa na Alvaro Morata dakika ya 22, Ross Barkley dakika ya 57, Willian dakika ya 62 na Ruben Loftus-Cheek dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pope, Bumrah, Bashir - how England v India will be won and lost
-
BBC Sport and data analysts CricViz look at the key battles that could
decide the outcome of the England v India Test series.
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment