Pierre-Emerick Aubameyang akifurahia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 63 na 66 kufuatia Mesut Ozil kufunga la kwanza dakika ya 45 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London. Bao la Leicester Arsenal walijifunga baada ya mpira uliipigwa na Ben Chilwell kumbabatiza Hector Bellerin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment