Sadio Mane akipongezwa na Xherdan Shaqiri baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 66 na 87 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cardiff kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 10 na Shaqiri dakika ya 84, wakati la Cardiff limefungwa na Callum Paterson dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment