Mshambuliaji Luis Suarez akiruka juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Barcelona bao la tatu kwa penalti dakika ya 63 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Sevilla usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Philippe Coutinho dakika ya pili, Lionel Messi dakika ya 12 na Ivan Rakitic dakika ya 88, wakati ya Sevilla yalifungwa na Clément Lenglet aliyejifunga dakika ya 79 na Luis Muriel dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Swiatek becomes latest seed to fall at Canadian Open
-
Wimbledon champion Iga Swiatek becomes the latest seed to fall at the
Canadian Open as she loses to Clara Tauson in the fourth round.
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment