Bondia Floyd Mayweather akizuiwa asiendelee kumshambulia mpinzani wake, Tenshin Nasukawa usiku wa kuamkia leo kwenye pambano la maoyesho mjini Tokyo, Japan. Mayweather alimuangusha mara tatu Nasukawa, ambaye ni mcheza kick boxing ndani ya dakika mbili za raundi ya kwanza na kushinda kwa Knockout (KO) hivyo kuingiza kiasi cha dola za Kimarekani Milioni 9 kwa pambano ambalo ilitakiwa liwe la raundi tatu. Floyd Mayweather, mwenye umri wa miaka 41 alistaafu ngumi baada ya kumpiga Conor McGregor mwaka 2017 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Liverpool don't need Alexander Isak, 16-year-old is ready for
first-team NOW - and young star must leave: THINGS WE LEARNED from
Liverpool's double-header with Athletic Bilbao
-
Liverpool rounded off pre-season in style with a 7-3 aggregate win across
two games against Athletic Club at Anfield. Our reporter NATHAN SALT came
up with...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment