Bruno Fernandes akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England mwezi Juni baada ya kukabdhiwa leo. Hiyo inakuwa tuzo ya pili kwa Fernandes aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 68 Januari kutoka Sporting ya kwao, Ureno baada ya kushinda pia Februari kabla ya Ligi kusimama kwa sababu ya maambukizi ya virusi vya corona. Fernandes anakuwa mchezaji wa kwanza wa Manchester United kutwaa tuzo hiyo mara mbili mfululizo tangu Mreno mwenzake, Cristiano Ronaldo mwaka 2006 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Swap Salah for Haaland? The FPL talking point
-
Mohamed Salah or Erling Haaland? As is so often the case, choosing between
the two superstars is the big talking point among FPL managers this week.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment