Michael Obafemi akishangilia baada ya kuifungia Southampton bao la kusawazsha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la Southampton lilifungwa na Stuart Armstrong dakika ya 12, wakati ya Manchester United yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya 20 na Anthony Martial dakika ya 23. Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi 59, ingawa inabaki nafasi ya tano ikizidiwa wastani wa mabao na Leicester City baada ya wote kucheza mechi 35, wakati Southampton inabaki nafasi ya 12 na pointi zake 45 za mechi 35 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Umahi: Tinubu spends ₦445.8bn on South East superhighway
-
From Isaac Anumihe, Abuja The Minister of Works, David Umahi, has directed
all regional directors of the Federal Ministry of Works to compile a
comprehen...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment