Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe la Ufaransa baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Saint-Etienne bao pekee la Neymar da Silva Santos Junior dakika ya 14 katika mchezo wa fainali Uwanja wa Stade de France Jijini Paris PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment