Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus, yote kwa penalti dakika za 55 na 90 ikilazimishwa sare ya 2-2 na Atalanta ambayo mabao yake yalifungwa na Daniel Zapata dakika ya 16 na Ruslan Malinovskiy dakika ya 80 katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijini Torino. Pamoja na sare hiyo, Juventus inaendelea kuongoza Serie A kwa pointi zake 76, ikifuatiwa na Lazio 68 na Atalanta 67 baada ya wote kucheza mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment