Wachezaji wa Simba Queens wakifurahia ushindi wa 5-1 dhidi ya Yanga Princess kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba Queens yalifungwa na Mwanahamisi Omary 'Gaucho' dakika ya 32 na 75, Opa Clement dakika ya 65 na 82 na Joel Bukuru dakika ya 69, wakati bao pekee la Yanga Princess lilifungwa na Joel Nesri dakika ya 35 
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment