KIUNGO WA KAGERA SUGAR, ZAWADI PETER MAUYA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA
Kiungo Zawadi Peter Mauya (katikati) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Peter Simon (kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said (kushoto) baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wana Jangwani hao akitokea Kagera Sugar ya Bukoba
0 comments:
Post a Comment