Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kuchapwa 2-1 na Osasuna kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou, hivyo kuvuliwa rasmi ubingwa kufuatia wapinzani wao, Real Madrid kushinda 2-1 dhdi ya Villarreal. Mabao ya Osasuna leo yamefungwa na Jose Arnaiz dakika ya 15 na Roberto Torres dakika ya 90 na ushei, wakati Messi alifunga la Barca dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment