Karim Benzema akishangilia baada ya kuifunga Real Madrid bao la pili dakika ya 16 kufuatia Ferland Mendy kufunga la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Granada ambao bao lao lilifungwa na Darwin Marchis dakika ya 50 Uwanja wa Nuevo Los Carmenes. Ushindi huo unaifanya Real Madrid itanue tena uongozi wake ikifikisha pointi 83 na sasa inawazidi pointi nne mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 36, wakati Granada inabaki nafasi ya 10 na pointi zake 50 za mechi 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment