Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi wa 2-0 dhidi ya Deportivo Alaves, mabao ya Karim Benzema dakika ya 11 kwa penalti baada ya Ximo Navarro kumchezea rafu Ferland Mendy na Marco Asensio dakika ya 50 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 80 na kuendelea kuongoza La Liga, ikiwazidi pointi nne mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Napoli held by Casertana on McTominay’s return 🔙
-
Everything happened in the first 45 minutes between Napoli and Casertana.
The fourth pre-season friendly of the azzurri ended in a draw: 1-1, with
goals fr...
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment