Jay Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Burnley bao la kusawazisha dakika ya 69 katika sare ya 1-1 na Liverpool iliyotangulia kwa bao la Andy Robertson dakika ya 34 Uwanja wa Anfield. Kwa sare hiyo, Liverpool ambao ni mabingwa tayari wanafikisha pointi 93 baada ya kucheza mechi 35, wakati Burnley inafikisha pointi 50 baada ya kucheza mechi 35 pa na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
54 minutes ago
0 comments:
Post a Comment