Wachezaji wa Manchester City wakifurahia ushindi wa 5-0 dhidi ya Newcastle United usiku wa jana Uwanja wa Etihad, mabao ya Gabriel Jesus dakika ya 10, Riyad Mahrez dakika ya 21, Federico Fernandez aliyejifunga dakika ya 58, David Silva dakika ya 65 na Raheem Sterling dakika ya 90 na ushei. Kwa ushindi huo Manchester City inafikisha pointi 69, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya mabingwa tayari, Liverpool wenye pointi 92 baada ya wote kucheza mechi 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment