HARUNA NIYONZIMA NA MOHAMED BANKA WOTE WAFANYA MAZOEZI LEO KUELEKEA MECHI NA SIMBA JUMAPILI TAIFA
Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini na timu yake leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumapili wiki hii dhidi ya watani wa jadi, Simba SC
Kiungo mwingine aliyekuwa majeruhi, Mohamed Issa 'Banka' akiwa mazoezini leo Uwanja wa Kaitaba
Item Reviewed: HARUNA NIYONZIMA NA MOHAMED BANKA WOTE WAFANYA MAZOEZI LEO KUELEKEA MECHI NA SIMBA JUMAPILI TAIFA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment