Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 45 kabla ya Anthony Martial kufunga la pili dakika ya 78 katika ushindi wa 2-0 dhdi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Selhurst Park  Jijini London. Kwa ushindi huo, Man United wanafikisha pointi 62, ingawa wanabaki nafasi ya tano wakizidiwa wastani wa mabao tu na Leicester City inayoshika nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment