Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy ameshnda tuzo ya Katu cha Dhahabu cha Ligi Kuu ya England baada ya kumaliza msimu na mabao 23, mbele ya Pierre-Emerick Aubameyang, Danny Ings waliomaliza na mabao 22 kila mmoja, Raheem Sterling wa Manchester City 20, Mohamed Salah wa Liverpool 19, Harry Kane wa Tottenham Hotspur 18, Sadio Mane wa Liverpool 18, Raúl Jiménez wa Wolverhampton Wanderers, Anthony Martial na Marcus Rashford wa Manchester United 17 kila mmoja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Punters denied fitting finale as cricket shoots itself in the foot - NASSER
HUSSAIN
-
NASSER HUSSAIN: I still can't shake the feeling that cricket shot itself in
the foot by playing by the rules. In situations like that, I just wish
there wa...
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment