Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 89 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. James' Park. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na beki Mholanzi Virgil van Dijk dakika ya 38 na mshambuliaji Mbelgiji Divock Origi dakika ya 59 na kwa ushindi huo mabingwa hao wanamaliza na pointi 99 wakiwazidi pointi 18 Manchester City waliomaliza nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment