Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba anayewaniwa na Manchester United akisaidiwa kuinuka baada ya kuanguka wakati anacheza mpira wa kikapu mjini Miami, Marekani alipokwenda kujifua kivyake kujiandaa na msimu mpya. Pogba alivaa jezi ya nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Villa complete £30m signing of Nice striker Guessand
-
Aston Villa complete the signing of Nice striker Evann Guessand for £26m
plus £4.3m in add-ons.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment