Alexandre Lacazette akisikitika baada ya refa kukaa bao lake aliloifungia Arsenal ambalo lingekuwa la kusawazisha katika kipigo cha 1-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City Uwanja wa Bet365 leo. Bao pekee la Stoke limefungwa na Jese Rodriguez dakika ya 47 katika mchezo ambao Arsenal walinyimwa na penalti baada ya Hector Bellerin kuangushwa na Mame Biram Diouf kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Injured Yates out of Giro after 30-rider crash
-
Britain's Adam Yates is out of the Giro d'Italia after suffering concussion
in a heavy crash on Saturday.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment