Mbrazil Roberto Firmino akipiga nje mkwaju wa penalti dakika ya 42 baada ya Sadio Mane kuangushwa na beki na Nahodha wa Sevilla, Nicolas Parejafluffs katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Liverpool iliyomaliza pungufu baada ya beki wake wa kulia, Joe Gomez kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 90 na ushei yalifungwa na Firmino dakika ya 21 na Mohamed Salah dakika ya 37, wakati ya Sevilla yalifungwa na Wissam Ben Yedder dakika ya tano na Joaquin Correa dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Andrew Johns is helping England's future stars - as the NRL Immortal
addresses speculation he may eventually end up a head coach
-
Rugby league Immortal Andrew Johns wants England to be competitive in this
weekend's first Ashes Test - and also gave an insight into a potential
future as...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment